Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkumbushe mwanao kuwa kushamiri au kufa kwa biashara hutegemea wanunuzi wa bidhaa kwani ongezeko la wanunuzi huwaibua wauzaji wa bidhaa kwa wingi na upungufu wa wanunuzi huondoa uwepo wa bidhaa sokoni.
 
Uvumilivu wa kweli si kukaa kimya ukiumia, bali ni kusimama imara bila kupoteza heshima yako. Jifunze kutofautisha kati ya subira inayokujenga na subira inayokumaliza taratibu.
 
Mungu anapokupitisha kwenye nyakati akakupa hekima yake. Hata kama hakuna nafasi Mungu atatengeneza nafasi maalumu kwaajili yako. Ambayo kwa akili na macho ya kawaida wengine hawawezi kuona.

~Mwl Mwakasege.
 
Back
Top Bottom