Thamani ya fedha haipo kwenye fedha uliyonayo. Bali maamuzi unayofanya juu ya fedha, uliyonayo.
Yaani, thamani ya 10,000/- haipo kwenye 10,000/- uliyonayo. Bali maamuzi unayofanya juu ya hiyo elfu kumi uliyonayo.
Kama Mungu alimuandaa Yusufu, kinyakati na kiagano. Uwe na uhakika atakuandaa na wewe kinyakati na kiagano.
Kama mungu aliwekeza ndani ya Yusufu kinyakati na kiagano, uwe na uhakika lazima atawekeza na kwako kinyakati na kiagano.

Tofauti ya changamoto za maisha walizokua wanapata Wazee wetu asilimia kubwa zilikua zinamalizwa na maneno, ushauri, Tofauti ya changamoto za kale na za sasa ni kwamba kila changamoto unayo ipitia Kwa sasa itatatuliwa na FEDHA NA SIO STORY YOYOTE ILE
Mkumbushe mwanao kuwa kushamiri au kufa kwa biashara hutegemea wanunuzi wa bidhaa kwani ongezeko la wanunuzi huwaibua wauzaji wa bidhaa kwa wingi na upungufu wa wanunuzi huondoa uwepo wa bidhaa sokoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.