Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20260112-WA0008.jpg
 
When you're newly qualified or just starting to do something solo that you'd previously done supervised, pretend you're teaching someone.
 
Mchwa waliwachukia Mende, wakapiga kura ya kuruhusu matumizi ya dawa ya kuua wadudu, lengo likiwa ni kuua Mende; Wakati huo wadudu wengine walisema "mambo ya Mchwa na Mende hayatuhusu".

Sasa, matumizi ya dawa ile yaliwaua wote wakiwemo waliosema hayatuhusu.
 
Usiishi maisha ukitarajia watu wawe wakamilifu. Kuruhusu wengine na wewe mwenyewe *"kukosea kidogo" nyakati fulani, hutuliza mtazamo wako wa kiakili; na kuifanya iwe rahisi kumkubali kila mtu.
 
Back
Top Bottom