myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe jioni njema
MafanikioUnapotumia msemo wa maisha ndio haya haya tu Kama sababu ya uvivu , kumbuka kua kesho hutakua na mafanikio yeyote Yale ya kujivunia
UkweliUkisema ukweli mapema, utaonekana mkorofi na ukinyamaza, pia utaonekana mjinga
Songa MbeleUsitake Kurudi Nyuma Kwasababu Ya Changamoto Unazokutana Nazo, Songa Mbele kwasababu Bado Una Ndoto
Mipango Ya MUNGUEndelea Kuamini Kwenye Mipango Ya MUNGU Ipo Siku Utakuja Kulia Machozi Ya Furaha
Mipango Ya MUNGUWengine Wanaondoka Kwenye Maisha Yako ili Ujifunze Kumtegemea MUNGU zaidi Kuliko Wanadamu.USIOGOPE
Karibu sana mkuu.Huu uzi hua nauona tu na sijawahi kuufungua,
Leo nimeamua kutembelea mitaa hii ili kuona kilichomo.
😀😀