myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee..........
kila mtu ana hadithi yake...........kila mtu ana hadithi yake, kila mtu ana mapambano yake. Usipige kelele kwa mafanikio ya jirani yako, bali tazama kama darasa la maisha. Jifunze kutoka kwao; jinsi walivyopigana, jinsi walivyovumilia, jinsi walivyoweza kuibuka. Hivyo utaongeza nguvu zako, si hasira zako
Sawasawa kabisaHata Kama hauishi maisha unayoyapenda basi Angalau mshukuru Mungu kwa hayo hayo maisha unayoishi maana kuishi tu peke yake ni Baraka.
oga na pendeza..Ukishaamua kutoka nje ya nyumbani kwako, oga na pendeza jumla huwezi jua unakutana na nani uendako. Ukisema usioge tu ndio unakutana na wale watu muhimu ambao usingependa kukutana nao katika muonekano hafifu.
Sahihi kabisa hili..Wanaostahili ushindi ni wale , waliozishinda changamoto walizokutana nazo. Kama njia yako haina vikwazo , itazame tena ramani yako. Kama barabara yako haina hata mawe njiani , ichunguze tena safari yako.
Ujumbe muhimuHofu Haizuii KIFO, lla Inakuzuiawewe kuishi;- Hivyo "Tunapata na tunapoteza, tunakosea na kujifunza pia, hatujilaumu maana ndio sehemu ya maisha"
Sawa kabisaMajuto yetu makubwa si yale tunayoyafanya, bali ni yale tunayoshindwa kufanya.
Shukuru kila sikuKile unachoona ni “cha kawaida” kwako, kwa mwingine ni ndoto.
Shukuru kila siku. Sali Zaidi
Aisee.....
NidhamuMaisha ya nidhamu hukuokoa dhidi ya maisha ya majuto
UaminifuUkomavu hauhitaji kelele, unahitaji uaminifu
Hofu haina ratibaNi heri Maumivu yana mwisho, lakini hofu haina ratiba maalumu
Ukweli wa moyoUkweli wa moyo ni halisi, lakini hauwezi kuishi bila mpangilio wa akili
Hakuna cha bureKamwe usitegemee kukuta supu kwenye sufuria ambalo hukupika chochote kile ndani yake , kwa kifupi duniani Hakuna cha bure wala hakuna bahati ila isipokua kila kitu kinakuja kwa sababu
Karibu kwetu
Safiiiii
Safiiiii