Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MMagazeti ya leo
Jumapili
January 04 2026
IMG-20260104-WA0007.jpg
 
Ipo Siku Utakaa chini Utatabasamu Na Kusema ilikuwa Ngumu Lakini Asante MUNGU Nimefanikiwa
 
Mwaka ni mpya kwa maana ya namba tu kubadilika hauleti miujiza bali miujiza ya mwaka huletwa na wewe mwenyewe kwa kutimiza malengo yako.
 
Kabla hujalalamika,angalia dunia kidogo.
Utaona watu wanapambana na majaribu yasiyo na sauti:
•Mtu ana afya,ila hana amani.
•Mwingine ana ndoto,ila hana nafasi.
•Mwingine ana familia,ila hana Upendo.
•Na mwingine ana imani, ila anabeba mzigo wa kimya usioelezeka.
 
Huwez kumpata mkamilifu kwenye dunia ambayo hakuna aliyekamilika, tafuta mwenye mapungufu unayoweza kuyavumilia ishi nae!
 
Kwenye Maisha Usiache kumtegemea Mungu kwa kila kitu na ukiamini utashinda kila kitu
 
Back
Top Bottom