Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20260102-WA0018.jpg
 
Mara tu baada ya chakula kuisha sahani ya chakula kitamu hugeuka sahani chafu, binadamu ni wabaya wakijua hauna ulicho bakisha kwenye msaada wako kwao ishi kwa tahadhari.
 
Ulimwengu haufanani na mama yako,

"unamkasirikia mama yako na kumfokea mchana na mwisho wa siku anakuita kwa ajili ya chakula cha usiku,"

Ulimwengu utakuacha ufe njaa.
 
Mwisho wa mwaka huwa na matumizi makubwa mengine hata sio ya lazima na mwanzo wa mwaka huwa na mahitaji mengi muhimu tena ya lazima,na shughuli ya kuchezesha mzani ni yako ,chezesha uwezavyo lakini hakikisha uzito unazidi kwenye mahitaji ya lazima.
 
Tujifunze kusamehe na kusahau kwa yale tunayokosewa,maisha hayajengwi na chuki ili uishi unahitaji amani na furaha moyoni,unakosewa leo kesho utakuwa mkosaji wewe,anza kusamehe leo ndugu yangu huenda hii ndio ikawa nafasi yako ya mwisho kufanya hivyo.
 
Ni muhimu sana kuficha jicho la tamaa ukiwa unatafuta, jitahidi kufunguo upeo wa jitihada zaidi, kusimamisha matumizi yasiyo na msingi tena yasiyo na haraka, ili kuongeza nguvu ya uwekezaji pale unapopatazamia
 
Back
Top Bottom