Ukipata mali na pesa omba sana zisikutawale
2. Utajiri sio kila kitu katika maisha kwani hata tajiri hawezi kununua pumzi iliyokatika katika mwili wake.
3. Taaluma na Elimu si sawa
4. Anyeweza kufanya ukakasirika haraka anauwezo mkubwa wa kukutawala.
Kuwa mwamini kwa wewe mwenyewe na jiamini katika kazi za mikono yako.
2. Acha kutegeneza vizingizio visivyo na sababu pale unaposhindwa jambo.
3. Kubali kujifunza acha ujuaji mwingi.
4. Heshimu na kuthamini watu uliowazidi elimu au mali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.