Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1 Wakorintho 6:13, 14
Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili. Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake.
 
Hakikisha unaishi,hakikisha changamoto hazikupi upofu wa kutoona baraka za Mungu maishani mwako
Shukuru japo kwa pumzi ya uhai,afya na uzima,furahia ulichonacho huku ukisubiri unachokitarajia.
 
Andika malengo yako kwa kutumia kalamu ya WINO lakini andika mbinu na njia za kuyafikia hayo malengo kwa kutumia kalamu ya RISASI (pencil) ili ikitokea umekosea mbinu au njia ufute na kuanza upya.
 
Mtu akiwa na tabia mbaya iliyokomaa kubadilishwa na mtu mwingine ni ngumu sana, maana tabia ni kama mwili unavyohitaji maji, unaweza kukaa muda fulani bila kunywa maji lakini utapata kiu ya kunywa maji vivyo hivyo kwa tabia ya mtu ataitenda tu haijalishi ataigiza kwa muda gani.
 
Your brain doesn't age because of time. It ages because of repetition patterns for years. The more predictable your days become the faster your neuron quiet down. Your brain builds neural pathways based on experience.
 
IMG-20260208-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom