Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,321 Ziandike huzuni zako kwenye mchanga, na zichonge neema za MWENYEZI MUNGU kwenye mawe.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,322 Usishangae kuona unalipwa ubaya sehemu ambayo ulipanda wema. Tambua kwamba sio kila ardhi yafaa kwa kilimo.
Usishangae kuona unalipwa ubaya sehemu ambayo ulipanda wema. Tambua kwamba sio kila ardhi yafaa kwa kilimo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,323 Ridhika kama vile una kila kitu. Yale anayotuandikia Mwenyezi Mungu ni bora zaidi kuliko tunayoyataka.”
Ridhika kama vile una kila kitu. Yale anayotuandikia Mwenyezi Mungu ni bora zaidi kuliko tunayoyataka.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,324 Kuna meseji ambazo huwa tunazijibu kwa tabasamu kabla ya kuziandika
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,325 Kile ambacho ulichelewa kujifunza, wafundishe watoto wako mapema.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,326 Kuhonga hakukupi uhakika wa kupendwa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,327 Kukaa mbali na mtu ambaye anakudharau ndiyo dawa inayofanya kazi kila wakati na kwa kila mtu.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,328 Maisha sio mafupi, ila tunapoteza muda mwingi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,329 Kipindi cha mafanikio yako jitahidi kuinua watu wengi.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,330 Kwanza wanakudharau, kisha wanakucheka, kisha wanapambana na wewe, kisha unashinda". - Mahatma Gandhi
Kwanza wanakudharau, kisha wanakucheka, kisha wanapambana na wewe, kisha unashinda". - Mahatma Gandhi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,331 Kukaa mbali na mtu ambaye anakudharau ndiyo dawa inayofanya kazi kila wakati na kwa kila mtu.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,332 Maisha sio mafupi, ila tunapoteza muda mwingi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,333 Kipindi cha mafanikio yako jitahidi kuinua watu wengi.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,334 Kwanza wanakudharau, kisha wanakucheka, kisha wanapambana na wewe, kisha unashinda". - Mahatma Gandhi
Kwanza wanakudharau, kisha wanakucheka, kisha wanapambana na wewe, kisha unashinda". - Mahatma Gandhi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,335 “Kwenye bahari ya hekima na maarifa, mpumbavu hutoka bila kulowana.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,336 Ukitumwa, usicheze njiani.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,337 Usikodolee macho vile wanavyomiliki wenzako, ili usije kuvichukia vile ulivyonavyo.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,338 “Ni kweli ELIMU haina umuhimu, Lakini inabidi USOME kwanza ndiyo ujue kuwa elimu haina UMUHIMU.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,339 “Ipo siku utaishukuru nafsi yako kwa kutokata tamaa.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 12, 2026 #1,534,340 "You will never find JUSTICE in a world where CRIMINALS make the law." - Bob Marley