Ukipata mali na pesa omba sana zisikutawale
2. Utajiri sio kila kitu katika maisha kwani hata tajiri hawezi kununua pumzi iliyokatika katika mwili wake.
3. Taaluma na Elimu si sawa
4. Anyeweza kufanya ukakasirika haraka anauwezo mkubwa wa kukutawala.