Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

uzi una siku 30.

Ulianzishwa: 16/06/2017


Leo ni: 16/07/2017


Celebration kwa uzi.




Tuambie story fupi uliingia vipi humu.

Yangu naileta soon hapa.


Mwendo mdundo mbele daima


Niliingia humu nilipoona kwa new posts ukisonga na nikiingia likes za post namba moja chache... nikailiza mbona views na namba ya post haiendani na watu kulike post namba moja kwanza eeeeeeh

Nafikiri ilikuwa kama posts elfu 20 na kitu au vipiii


( wenyeji zaidi mnikumbushe kama nimekosea namba ya posts ilikuwa wapi ha ha haa)

Nikaanza kusema hapo kuna kama pages fulani chache hata 50k ilikuwa kuleeeeee

Nakumbuka kusukuma gemu la 50k kihaswaaaaa...eti?

Nikajibiwa vizuri na kula like... nikaona na mimi nitoe eeeh tukaanza kuburudika na kuuita gemu ili kila mtu ajisikie ni gemu

Ndio maana hadi leo nashangaa wanaopenda kuposti na like hawatoi labda zile za kimoja kiwili kuifichia au sababu mtu kawa quote tu... ila hawajui hii gemu sivyo ilivyo

Wachoyo wengi wa like wamekimbia

Wengine wanakimbia na kurudi...

Sio mbaya ila gawa like hata kwa page nzima uliyomo au kwingine poa sepa zako shaaa

Hata rudi nyima mwaga kwa page unazotaka poa

Ni gemu la burudani hili... himu hatushindani nani kaandika vizuri au vibaya

Kuna upendo... ndio maana unakuta mtu anamuuliza mtu kitu unaweza kushangaa kajuaje kumbe humu humu wamejadili kabla.


Eeeeeh


Enjoy


Jaza ujazweeeee


Sambaza upendo wa like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…