Loh!!! Ukalalie ngoko za bwana yulee!!! Bora ubaki hapa hapa sitakusema tenaShemeji siipendi kupitwa na matukio humu[emoji23][emoji23][emoji23]ila kwakua andjul ananisema acha nikalalie miguu ya Cole
Tumecheka wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kuridhikaNdio maisha ya uzeeni haya ndugu yangu,unajenga hapa unakuta maisha yanabadilika.Unaenda kwingine unajenga,lakini bado hali inakuwa siyo,basi, unakuwa mtu wa kuzunguka tu
HahahahahaRutashubanyuma una post nyingi sana 75,000+lakini likes hii ndio tabu ya jukwaa la siasa na mengineyo
Sawa mkuu,bila yeye mimi ni uselessMsamehe
Is that soStill 4 hrs ago...
Safari ni safariutafika 2 babe s:
Kweli kabisa babe sA lot has happened ndani ya masaa 4
Yuko chimbo sana leoShimba ya Buyenze...
Utachunguliwa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Labda hata kanga uwe unaenda kuoga bafu la nje hiviii[emoji39] [emoji39] [emoji39]
HahahahahaNdo maana nimewahama wana wivu sana
Hakika,inafika wakati unakubali matokeo.Ni kuridhika
Wachumba au mchumba?Mungu anipe afya ili niitwae,inisaidie kutafutia wachumba humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IrishDublin
PolishWarsaw