True though strangeMmmhh[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Safari hatutaki nomaMnakimbiza uzi balaa
VyemaTunaendelea kuzipata
KapouwahPole sana shem
Ndio maisha ya uzeeni haya ndugu yangu,unajenga hapa unakuta maisha yanabadilika.Unaenda kwingine unajenga,lakini bado hali inakuwa siyo,basi, unakuwa mtu wa kuzunguka tuHahahaha
DimbaniWapi huko?
Kwako piaPongezi kwenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaaaa cocochanel mchokozi...ila ulivyo kuja uliipiga ya kichama,wakashituka aaaaaaah!!! Ukabadilika kabisa,nikakuomba msamaha kwa jinsi nilivyokuwa nakuchukia kule siasani,tukayamaliza mpaka leo ni baba na mama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (yaani wewe ni ke Mimi ni me).ISIS kwa lugha yake ngumu kule siasani nikamwita Me,weeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani hadi Numbisa alishangaa kujua kuwa ISIS ni ke... Hakika tuna cha kujivunia sana
Hakuna ubishi kwenye hiloKweli kabisa
NjemaHabari ya wewe?
Tunamkubaliuniq kiongozi mkuu kwema
KwemaSalama wakuu
Naona ananitafuta ubaya,nitamng'oa kiungo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Carba naona unatishia 200K
Kingi hiyoIla shem naomba nikuulize jana mlirudi salama na mzee wa ikwiriri?mana hizi gospo za leo mmmh
Rutashubanyuma una post nyingi sana 75,000+lakini likes hii ndio tabu ya jukwaa la siasa na mengineyoKwa jema lakini msikilize polepole
Duh nimebanwaWatu wana zengea zizi langu sana kuna jamaa kaja asubuhi anachombeza. Ikabidi Mama aniambie umemuona huyo?? Nikamuambia KK atakuwa kamtuma.
Damu yako inanizungukaKwq sababu utanilinda na mabaya yote