uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Tayari nini??Yupo,majukumu yake na kihoma kilimpitia kidogo
Tayari nini??Yupo,majukumu yake na kihoma kilimpitia kidogo
Shimo walilokuchimbia kutumbukia wenyeweTego wamenitega litawatega wenyewe
Mimi simuamini kabisa carba[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mmbea mmbeaaaaa hadi ananikwaza.Kitu hakimpiti kesha ita[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli kabisa tumepata marafiki wa kweli. Siku mjua Carba kabla leo najivunia ushauri wake.
Simba uwanjaniVipi tena uniq?
Mimi nipo am all yours baby[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]Nashukuru nimekuona na kamoyo kameanza kutulia[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Shauri yao hawajui wewe ni mbarikiwaShimo wamenichimbia mie watatumbukia wenyewe.
NikisepaNinekuona mahali leo
Kabisa kuna msukule niniIla utasikia serikali inakanusha badala ya kutoa hali ya tahadhali,sijui katuroga nani aaaggrŕrr
Mambo Jakitoomuanzisha sredi hiyo avatar yako mie mbavu sina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duhcarbaaaaaaaaaaaaaaaa
MmmhhhhhAsa ukweni