Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi hata sikumbuki niliingia lini na ilikuaje,ila ninachoshukuru nimepata marafiki japo hatujuani and am happy here...mbarikiwe nyote mana nimekua ni mwenye furaha mara zote nikiwa humu...nawapenda nyote[emoji8][emoji8][emoji8]
Kweli kabisa tumepata marafiki wa kweli. Siku mjua Carba kabla leo najivunia ushauri wake.
 
Back
Top Bottom