Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole sana.Nilijikuta tu sitakiwi hata kuendelea Ku like baada ya kuona hiyo post.Lakini ndio madhara ya malezi yasiyo na misingi ya heshima,ile ni picha inayo muwakilisha mwanamke,mama yake ni mmoja wapo.Niishie hapo tu...Sijisikii kuendelea.Usiku mwema kwa woote..
Mimi imenikwaza sana basi tu nivile sio mod lasivyo ningempa ban ya 6yrs....asante...usiku mwema nawe pia
 
Back
Top Bottom