Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
TamuLikes za lullaby
TamuLikes za lullaby
Shetani hupitia njia nyingi anapofuata wafuasi wake, hupita makanisani, misikinini nk. usidhani hupita bar na vijiwe unga pekeeNauliza tu.
Hivi shetani ni mkatili sana au anaupendo?
Maana wavuta unga na walevi ni watu wamoja sana kuliko hata makanisa ya kilokole..
jamani mi nauliza tu.
Msamehe mara zote[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Post sent using JamiiForums mobile app
BetterAMUN RA
Ndoto za ushindi tu
Too much six years?Mimi imenikwaza sana basi tu nivile sio mod lasivyo ningempa ban ya 6yrs....asante...usiku mwema nawe pia
Asante, wapi kichwa kichafuKaribu tena moudgulf
Lala salamaYaala
Tulia[emoji120] [emoji120]
Nawapenda wanamichezoNaona umeanza kuota majina[emoji23] [emoji23]