Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nauliza tu.
Hivi shetani ni mkatili sana au anaupendo?
Maana wavuta unga na walevi ni watu wamoja sana kuliko hata makanisa ya kilokole..
jamani mi nauliza tu.
Shetani hupitia njia nyingi anapofuata wafuasi wake, hupita makanisani, misikinini nk. usidhani hupita bar na vijiwe unga pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…