Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mteule Mkuu, kwema mkuu?
Hata bila mipango yanakwenda tu!Maisha ni mipango.
Good morning shimbaHata bila mipango yanakwenda tu!
Kwema my dearMteule Mkuu, kwema mkuu?
AMUN RATuna kushukuru Mungu kwa kutupa siku nyingine. Tuna shukuru kwa wema na ukarimu wako. Baba tazama kila mwanao anaekwenda kuhangaika na kufanya kazi kwa moyo wake wote, Mungu naomba umbariki akafanikiwe.
Na wakabidhi wote mikononi mwako huku ukiwa umewafunika kwa Damu ya mwanao Yesu Kristo iwe ulinzi kwao.
Amen.
kwema.. nilikuwa nje ya mtandao kwa mudaSema mkuu. Kwema?
Amen.Ubarikiwe sanaTuna kushukuru Mungu kwa kutupa siku nyingine. Tuna shukuru kwa wema na ukarimu wako. Baba tazama kila mwanao anaekwenda kuhangaika na kufanya kazi kwa moyo wake wote, Mungu naomba umbariki akafanikiwe.
Na wakabidhi wote mikononi mwako huku ukiwa umewafunika kwa Damu ya mwanao Yesu Kristo iwe ulinzi kwao.
Amen.
Hauendi shule leo?![]()
Hii itawafaa sana Andjul na Ho chi minh