myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
You Find Him, I'll Fix Him
Yuko kwenye daladala anawahi kibaruaniCarba - amka binti kumekucha. Uwe na siku njema leo, wewe pamoja na Cole na wapendwa wako!
Salama mkuu,umeamkaje? Kumekucha tenaZa asubuhi lakini
Bila zengwe umeamkaje ndugu yanguaya kumekucha sasa kwa kuongezeana likes
Za asubuhi isisKwema my dear
Me naona wapo sahihi mana wakienda kutoa maji wote ngoma itazama hii
UmeamkajeGood morning shimba