Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na nyie badala ya kupeana likes mmeanza kupost picha za kijinga.

Moderator , JamiiForums picha mbovu inaonekana hapa mazee.
Hiyo picha iliwekwa na mjinga mmoja alikuja humu kufanya fujo na kutukana.

Nikahisi mod wameshafuta hiyo picha na post ya huyo jamaa.




Hapo ndio maana naendelea kuwalaumu mod kuwa hawapo active
 
Only love, sets you free,
And if you serve to fate, then you're my destiny.
Now I know, now I see.
Anything can happen, if you just believe. Once again carbamazepine [emoji173] [emoji178] [emoji173] [emoji178] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Umenitoa wasiwasi hapo mstari wa mwisho. Nilifikiri umeanza tena paraboz bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
This is so sweet of u[emoji120] [emoji120] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…