Si nzuri hata kidogo.Kwanini? Wewe mbona umeiona?
Wampe life ban kabisa mfyuuu zake
17:56
assume upo kwenye daladala halafu unafungua jf then inatokea hiyo picha....Blue triple blue mdada yuko uchi kalala kifudifudi very bad
he!!!!!Acheni na sisi tuione tuweze kumraani vizuri
Triple xxxxJana sikuwemo humu shemeji. Ni picha gani hiyo inaongelewa sana?
Iko wapi?
Pokea nondo ya like kwanzaNipo mkuu,majukumu ni mengi. Nilikua nakatiza nikaona hiyo picha,inavutia[emoji3][emoji3]
isingekua jua lishazama..kama ni Asbh kwa jina ya Mungu yeyote aliyetazama asinge pata rizki.Kama hujaiona bora usiione
Sijui mods wanafanya nini inakera kweliWatu tuko tofauti sana. Aliyeiweka ni nani? Na kwa nini imeachwa kuwa hapo tangu jana? Mods hawaioni?
Kwenye phones inaonekanaUnatumia PC? Kwa tunao tumia app ukiingia tu Jf unaona ime display kwenye uzi huu
Pata likeBroooo bwana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]
Mkuu mbona umeshikia bango hivyo? Kama hujaiona basii.elewa tu ni mbovuu.Iko wapi?
Msameheni tu ni mihemko ya wekeendNi wivu tu anaona mtiririko wa likes sasa aumwa alianzisha huu uzi anaweza kuitoa?
Si waifute tuHuyo si wa humu alikuja kuchafua uzi siku ya jana kwa id fake