Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo picha imeniletea taswira mbaya hapa nipo kwenye basi kwa uzuri nimekaa na mwanaume mwenzangu ikabidi nimueleze huu ujinga uliofanyika kwenye hii picha.

Nawaza tu je ndio ningekuwa nimeufungua kwenye halaiki kama kwenye mwendokasi jioni hii watu walivyojazana namna ile au upo na wanao au wazazi

kula uliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…