Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana mods. Tena muwe na kasi zaidi kama mlivyo katika kugawa ban. Lipicha lile liko tangu jana. Watapata sababu ya hata kuifungia JF nzima. You have to be aggressive!

LIPICHA MBONA BADO LIPO TU?
 
Kila siku huwa nasisitiza kuwa mods waangalie aina upya ya kujiunga humu jamvini.....hasa hasa suala la kupimwa akili kwa baadhi ya member humu.......maana kuna vichaa wamebakiwa akili kidogo za kutumia simu janja ndio wanaofanya upuuzi huu.....

Maana naamini kabisa mtu mwenye akili timamu hauwezi ukaposti picha kama ile....

Hiyo picha niliyokutana getini....imenifanya nijulize mara mbili mbili kuwa nimeingia JF au mtandao wa ngono.....!!??

Jamani humu ndani pamoja kuwa tunataniana humu lakini mkumbuke kuwa kuna baba zenu humu na mama zenu....

NB;
Mods hakuna uwezekano wa huyo kijana mkamkabidhi kwenye vyombo vya sheria.....au haya si katika makosa ya kimtandao...!!?
 
Badi ipo.
 
Well said mkuu. Tuko wengi humu na wa aina mbalimbali. Ni muhimu pia mods wawe aggressive zaidi kwa sababu picha hii ipo tangia jana na watu wameripoti mpaka wamechoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…