Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani sheria hiyo imeshindwa kufanya kazi? Au wana-focus na aina fulani tu ya makosa? Naona watu wanadakwa kila leo...

Wamiliki wa jamii media bado wana mvutano na polisi idara ya makosa ya mtandaoni kuhusiana na kutoa taarifa za member humu....na bila shaka hiyo kesi bado iko mahakamani......

Jamii media wanafanya jambo la maana kutulinda na hilo lakini wakati mwingine wanawaficha wapuuzi kama hawa wanaowaharabia kabisa....ambapo inaweza ikapelekea mtandao kufungiwa.... kabisa....
 
Duh pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…