Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwao kila anachofanya zari wanakosoa. Wangejua shule nyingi,nyumba nyingi,barabara na viwanja vingi ni makaburi ya zaman wasingenyanyua vidole kuhukumu wenzao
Hao nao udaku tu umewajaaaa

Makaburini watu wanaenda kuzika kila siju wanakaa na kusimama kwenye makavuri ya watu hawawafahamu... kwa Zari wanaandika upupwu

.... wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…