Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Share
 
Pokea like
 
Posts zako hakuna ansyehoji ubora kwa hiyo heshima pia uhuru wa mwenxio
 
Huyu ruta anaquote kila mtu kisha anaanza walaumu hawampi likes. Nakuta notifications nyiing nikiangalia kaniquote hadi sms wakati uzi unaanza kisha anaweka muda aliolike dah sio fresh
OK. Anafanya hivyo kwa kila mtu. Naona ndiyo staili yake ya kuzisaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na yupo 24/7. Hakukosea aliyesema vita vya likes haijawahi kumuacha mtu salama. Hakuna pa kupumlia. Tuvumilianeni tu!
 
Chorus

(verse 5)
Nifike mbinguni nikamwone baba (Amen)
Nifike mbinguni nakapumzike (Amen)
Katika kiti cha enzi nami nikasujudie
Niwaone wenzangu wale walionitangulia
Nikale matunda ya mti wa uzima
Yesu nibebe, baba nibebe,
Nibembeleze nibebe nichukue mbiguni salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…