Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera kwa like
 
Aah tembelea magu,misungwi,kwimba wapo weengi wa kutosha ila tu kuwa makin wakijanjaruka aiseee huwa hawashikiki
Aaa wapi! Unajua mpaka leo sijaelewa kwa nini mabinti wa Kisukuma ni wagumu hivi. Nakaribia utu uzima sijawahi kuwa na bebi wa Kisukuma. Tatizo ni nini? School mates karibu wote wameishia kuoa Wachagga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…