Ohoo!!laundi hii tutangoa viti,!!!Nakusubiri. Ukileta za kuleta tu hasa ukiniita fala tena you are out mpaka 2020 [emoji23][emoji23][emoji23]
Bb ya like KumekuchaaaNot yet. Kwani ushapanda kitandani tayari? Kwa wengine ndo kunakucha sasa!
Uzi huu ni zege na zege halilali nikitoka zamu mwingine anapokeawakat unazama chimbo wengine wanaibuka
Chukua basi na wewe my like
Like hiyo at 08:0123:57...