Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwangu bado utapata like sibagui sharti niinukuu post yako tu ujue nondo ya like inakuja

Hii kitu huna haja ya kunukuuu

Watu wanapata alerts kuonysha nani ka like na inatosha.

Kunukuu umeona wengine haiwapendezi kama hamna umuhimu

Itakuwa vizuri ukipost zaidi labda wote tuwe na furaha ndani ya huu uzi. Usikimbize watu

Umenielewa?
 
Back
Top Bottom