Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii kitu huna haja ya kunukuuu

Watu wanapata alerts kuonysha nani ka like na inatosha.

Kunukuu umeona wengine haiwapendezi kama hamna umuhimu

Itakuwa vizuri ukipost zaidi labda wote tuwe na furaha ndani ya huu uzi. Usikimbize watu

Umenielewa?
kunukuu kunasumbua wengine..labda kwa swali uliloulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…