The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kwenye JamviMmeamkaje wakubwa?
Kwenye JamviMmeamkaje wakubwa?
Unavyovitaka[emoji23][emoji23][emoji23]Umesema vile ninavyo kufanyaje??[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]
au ufe na malaria!!*Dawa ya kupuliza Mbu ni shilingi Elfu8 hadi Elfu kumi wakati Dawa ya Malaria ni _shilingi Elfu 1,500/= hadi Elfu 3,000/=,_*
*Sasa si bora tusubirie kupata Malaria tu ili tununue Dawa kwa bei nafuu Tu..*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa kuua watu wengi duniani,kumbuka hilo.au ufe na malaria!!
[emoji23][emoji23][emoji23]mshindwe na mlegee viungo vyote vinavyowapa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Akinijibu nitakuambia tupige collabo hadi binti alainike[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uupate kwa ugali wa sembeMchuzi wa nyama
Yakimwagika hayazolekiMaji
Utajuaje una malaria bila kupima? Au gharama zote vipimo na kulazwa ikitokea ipo ndani ya hiyo sh.3,000?*Dawa ya kupuliza Mbu ni shilingi Elfu8 hadi Elfu kumi wakati Dawa ya Malaria ni _shilingi Elfu 1,500/= hadi Elfu 3,000/=,_*
*Sasa si bora tusubirie kupata Malaria tu ili tununue Dawa kwa bei nafuu Tu..*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WaterMelon