andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mimi na wewe tuna heshimiana sana mkuu,haujawahi kulitikisa zizi langu hata kwa bahati mbaya
Mimi na wewe tuna heshimiana sana mkuu,haujawahi kulitikisa zizi langu hata kwa bahati mbaya
Mie sitaki nywele mkuu,Mkuu nakujua uharibifu wako.Nakuombea kila mara kipara chako kiote nywele lakini haunithamini
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Akinijibu nitakuambia tupige collabo hadi binti alainike[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nafuata makubaliano yetu,Mimi na wewe tuna heshimiana sana mkuu,haujawahi kulitikisa zizi langu hata kwa bahati mbaya
[emoji120] [emoji120] ahsante mkuu,hali ilianza kuwa mbaya maana bado sijajibiwa niliko tuma maombi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]maongezi pendwa hayana tabu
Si yuleeeee.....
Macho hayana Pazia.[emoji23][emoji23][emoji23]sikulaumu kazi ya macho kuona[emoji23][emoji23][emoji23]tena vile unavyovitaka
Mkuu unafanya depreciation ya nywele???
Unapajua motoni lakini? Usingesema haya.
Nakushukuru sana,toka aniharibie mara ya kwanza hajarudi tena.Hofu yangu ni vile anabadilika badilika sana,juzi alikuwa ni mtu wa gospo, sijui ilikuwa bahati mbaya au ni kusudi la Mungu!!!Nafuata makubaliano yetu,
Kosa lako kubwa kwangu ni ile hali ya kuegemea kwa Uniq,
Kichwa kichafu alikaribia kumega kwenye zizi lako nikamshauri usiku kucha mwisho akanielewa akaacha ingawa sina uhakika sana kama hakuwahi kufanya hivyo japo mara moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusubiri ujue?