Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
LikedKula likes mkuu unalikes sana lakini post unaweka chache
Nafikiri unaongoza kwa kutoa likes hapa JF
Just liked u[emoji112][emoji112]ukija useme ulichotaka kusema[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ehe!
Liked
Violence breeds violence
[emoji101]anauzwa ghali
Lakini hata uki-ignore bado mtu anaweza ku-quote post zako na kukurundikia ma-notifications yasiyo na maana. Kuna njia ya kumfanya mtu asi-quote post zako kabisa kabisa?Mimi nimebidi nim ignored mtu!
Huu uzi ni wa upendo sio mambo ya kujifanya unajua kuliko wengine!
Duh! Imebidi nimpe stop mapema!
Na wewe piaPata likes
Kweli kabisa. Tunapost tunalike,tunaquote tunajibu vya maana.Ule utulivu ulikua mzuri sana
Pokea like[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Baadaeeeee[emoji112] [emoji112] [emoji112]
Liked
Jaribu kum-ignore uone kama notifications zitapungua.Jana nilimlalamikia mtu mmoja kuniquote na akaniita majina majina leo bado yupo na quote zile zile kwangu. Uzi huu sio wa kukwazana jaman. Leave me alone sio kila kitu cha kuquote