Karibu mkuu.
SebuleniKaribu
Ngoja nizikusanye zote hizi nije nizisome kwa kituo. Sasa focus ni likes kwanza."Usifanye kitu uonekane unakifanya fanya kitu kionekana kinafanywa na wewe"
*USIFUATE MKUMBO*
Nikupe siri moja kwamba sio kila mwenye mawazo hasi hana mawazo chanya, kunawatu wenye mawazo chanya lakini kwa lengo la kufanya wengine kuwa na mawazo hasi au kuwa kama yeye, haujawahi kukutana na mtu ambaye ukikutana nae kwa siku ya kwanza unaongea nao mambo chanya tena vizuri sana na anaweka pointi ambazo zimenyoka kwelii lakini mnavyozidi kujenga na uhusiano anaanza sasa kukuingiza kwenye uhalisia wake wa hasi? hawa naweza kuwaita Pareto Mindset yani wao wako hivi 20% ya akili zao ni chanya na wanazitumia vizuri kweli kuficha 80% ya akili zao ambazo ni hasi, hawahawa ukikaa nao muda mrefu kama nilivyokueleza 80% ya akili hasi ambazo ndo uhalisia wao huanza kutafuta watu wenye 80% ya mawazo chanya na 20% mawazo hasi kuweza kuwa 20% mawazo chanya na 80% hasi.
Nimeshakutana na watu wa namna hii wao mara nyingi huwa kama wajuaji sana na huwa na mtindo wa kutaka kuonekana wako sahihi katika kila jambo,mara nyingi huwa wanatafuta ushahidi mambo yao ambayo hasi kuwa kwelii. Ukikuta kama ni kwenye magroup ya whatsapp wanaweza kuona kitu flani kiko sahihi lakini kwakuwa na chuki, wivu ataanza kutafuta njia ya kuweza kuangalia wangapi watamuunga mkono hisia zake na sio fikra zake kupinga swala au jambo ambalo liko kwenye group mana hapo tayari kashatawaliwa na hisia kutokana na mawazo yake hasi ya 80%, utaanza kuona na wengine wenye tabia kama yake wanajitokeza kuunga mkono au wengine ambao watashindwa na wao kufikiri wanajikuta wanaingia kwenye PARETO MINDSET. Hata katika maisha yetu ya kawaida tunakutana na hawa ndugu ambao wako na muundo huu.
Mambo haya madogomadogo ndiyo ambayo yanafanya tusisonge mbele, yanafanya tulalamike kila kukicha mambo hayabadiliki.
Kutumia ubaya wako kuangusha wengine ni kitu kibaya sana na ni dhambi mbaya sana kwasababu unajua huyo ambaye unataka awe na mawazo hasi angeweza kusaidia wangapi kama angakuwa na mawazo chanya? au unajua ni wangapi kupitia huyo unayempotosha wangeweza kufanikiwa? je kama unayempotosha kwa mawazo hasi ndiye angekuwa mwokoaji wa familia yake na sasa familia yake imebaki kwenye mahangaiko kwasababu wewe umempotosha? vipi kama unayempotosha alikuwa anatakiwa kuja kuwa muelimishaji mzuri katika jamii na wewe ukampandikiza 80% ya mawazo yako hasi? Unadhani lawana za hawa watu ambao watakuwa wanalalamika kukosa mkombozi wao zitakuwa zinakuja kwa nani? mwisho wa siku utaanza kusema unalogwa, hapana , acha kujiloga.
Hauwezi kupata wazalendo wazuri wa nchi bila watu kuwa wazalendo wenyewe kwenye Akili na miili yao.Hauwezi kuwa na siasa safi kama watu hawana siasa safi za maisha yao. Lakini kumbuka uzalendo wako bora na siasa yako bora ya maisha haiwezi kujengengeka bila kuwa na FIKRA CHANYA, hata inchi yako haiwezi kukuita mzalendo ukiwa na mawazo hasi.
*Kuwa makini*.
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Kula like
16:1215:00
AMUN RA
Then u deserve another likeWell understood
Tanganyika tanganyikaniHii ndio orodha ya marais wa awamu zote kupishana kwa kidini tangu Tanganyika kupata uhuru.
1. Mwalimu nyerere - mkristo.
2. Hassan mwinyi - muislamu.
3. Ben mkapa - mkristo.
4. J. Kikwete - muislamu.
5. John magufuli - mkristo.
Pokea likeandjul kwema mkuu?
Yamemkuta
Idd amini dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah
Kweli? Basi sina cha kukupooza zaidi ya another likeHuyo mimi ni kikwazo kwangu hamna namna.
Mkuu salama
Msimamizi wa ujenzi alikuwa anamwita mjenzi chini ya jengo yeye akiwa ghorofa ya 16. Lakini kwa sababu ya kelele za nje, mjenzi pale chini hakusikia sauti hiyo.
Ili kumfanya mjenzi ashtuke, msimamizi alirusha noti ya sh elf 5, kutoka juu na ikaangukia alipo mjenzi yule. Mjenzi aliokota, akaweka mfukoni na kuendelea na shughuli zake.
Msimamizi akarusha tena noti ya elf 10 kwa mjenzi yule. Kwa nia ya kumshtua ili wawasiliane, wakati huu pia mjenzi aliokota ile elf 10, akaiweka mfukoni na kuendelea na shughuli zake.
Sasa msimamizi akaamua kuchukua kajiwe kadogo na akarusha kakampata mjenzi. Safari hii, kwa sababu kale ka jiwe kalimuumiza, aliangalia juu ajue kalipotoka, Ndipo msimamizi alipopata nafasi ya kuwasiiana.
Hebu tafakari kwa muda. Mungu anataka mawasiliano nasi, lakini tuko busy na shughuli zetu za dunia hii.
Anatupa zawadi/ baraka kubwa na ndogo tunazichukua na kuzifurahia bila hata kujua zinatoka kwake, bila hata kushukuru. Na mara nyingi tukijisifu kuwa TUMEBAHATIKA.
Lakini pale tunapo rushiwa kajiwe kadogo, ambacho tunaita (MATATIZO), ndipo tunamkumbuka Mungu.
Hapo ndipo tunapoomba/sali na kuwasiliana na Mungu.
Mungu anatupatia vyote na kutusamehe dhambi, sisi tunapokea na kusahau, tubadilike, Mungu hafurahii.
Tusisubiri turushiwe mawe, wakati wote tumkumbuke na kumsifu Mungu.
Tufanye kumuomba,kumshukuru na kumsifu Mungu iwe sehemu ya maisha ya kila siku...ubarikiwe
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Kama kawaidaNumbisa mjengoni
[emoji23][emoji23][emoji23]tunapoficha funguo tena???Shem we katibia huku si unapakumbuka vizuri nyumbani na funguo tunapoficha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
You can say that again!Well said