Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
More likesKwa nini watu wanasoma? Kwa nini watu wanaenda shule?
Tafsiri Rahisi ya kwenda shule ni kwenda kutafuta Maarifa Na Taarifa ambazo hatuna. Kifupi ni kwenda kujifunza. Swali la kujiuliza kama una maarifa Na Taarifa sahihi kuhusu nini ufanye Na ufanye kwa kiwango gani kuna haja ya kwenda shule? Na ni nini faida ya kupata hayo maarifa Na Taarifa ambazo hazikusaidii kutimiza ndoto zako?
Huu ni muda Wa kujitafakari kila mmoja Na nafsi yake Na kujua una nini kichwani mwako Na mkononi mwako kinachoweza kuwa sababu ya kutimiza ndoto yako? Usiumize kichwa chako kuwaza una nini kwa ajili ya kutimiza ndoto zako.
Tafuta vitu vitatu tu vitakusaidia kutimiza ndoto zako
. 1. Tafuta maarifa
2.Tafuta Taarifa Na
3. Tafuta watu sahihi wenye mawazo chanya Na malengo ktk maisha. Tengeneza marafiki watakao kuwa daraja la wewe kuvukia Na kwenda utakako kirahisi. Network ndio njia pekee ya kupata watu sahihi Wa kushirikiana nao ktk kutimiza malengo yako. Kingine cha ziada baada ya kupata hivi vitu vitatu Mshirikishe Mungu ndoto yako Na malengo yako, kuwa Na uthubutu Na jiamini kuwa unaweza nakuhakikishia malengo yako Na ndoto yako itatimia.
~Maisha ya mafanikio ni maamuzi ktk kuwaza Na kutenda na sio kuwaza Na kusema pekee. See u at the top
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Nice one!Msimamizi wa ujenzi alikuwa anamwita mjenzi chini ya jengo yeye akiwa ghorofa ya 16. Lakini kwa sababu ya kelele za nje, mjenzi pale chini hakusikia sauti hiyo.
Ili kumfanya mjenzi ashtuke, msimamizi alirusha noti ya sh elf 5, kutoka juu na ikaangukia alipo mjenzi yule. Mjenzi aliokota, akaweka mfukoni na kuendelea na shughuli zake.
Msimamizi akarusha tena noti ya elf 10 kwa mjenzi yule. Kwa nia ya kumshtua ili wawasiliane, wakati huu pia mjenzi aliokota ile elf 10, akaiweka mfukoni na kuendelea na shughuli zake.
Sasa msimamizi akaamua kuchukua kajiwe kadogo na akarusha kakampata mjenzi. Safari hii, kwa sababu kale ka jiwe kalimuumiza, aliangalia juu ajue kalipotoka, Ndipo msimamizi alipopata nafasi ya kuwasiiana.
Hebu tafakari kwa muda. Mungu anataka mawasiliano nasi, lakini tuko busy na shughuli zetu za dunia hii.
Anatupa zawadi/ baraka kubwa na ndogo tunazichukua na kuzifurahia bila hata kujua zinatoka kwake, bila hata kushukuru. Na mara nyingi tukijisifu kuwa TUMEBAHATIKA.
Lakini pale tunapo rushiwa kajiwe kadogo, ambacho tunaita (MATATIZO), ndipo tunamkumbuka Mungu.
Hapo ndipo tunapoomba/sali na kuwasiliana na Mungu.
Mungu anatupatia vyote na kutusamehe dhambi, sisi tunapokea na kusahau, tubadilike, Mungu hafurahii.
Tusisubiri turushiwe mawe, wakati wote tumkumbuke na kumsifu Mungu.
Tufanye kumuomba,kumshukuru na kumsifu Mungu iwe sehemu ya maisha ya kila siku...ubarikiwe
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Ubarikiwe nawe,asante kwa ukumbushoMsimamizi wa ujenzi alikuwa anamwita mjenzi chini ya jengo yeye akiwa ghorofa ya 16. Lakini kwa sababu ya kelele za nje, mjenzi pale chini hakusikia sauti hiyo.
Ili kumfanya mjenzi ashtuke, msimamizi alirusha noti ya sh elf 5, kutoka juu na ikaangukia alipo mjenzi yule. Mjenzi aliokota, akaweka mfukoni na kuendelea na shughuli zake.
Msimamizi akarusha tena noti ya elf 10 kwa mjenzi yule. Kwa nia ya kumshtua ili wawasiliane, wakati huu pia mjenzi aliokota ile elf 10, akaiweka mfukoni na kuendelea na shughuli zake.
Sasa msimamizi akaamua kuchukua kajiwe kadogo na akarusha kakampata mjenzi. Safari hii, kwa sababu kale ka jiwe kalimuumiza, aliangalia juu ajue kalipotoka, Ndipo msimamizi alipopata nafasi ya kuwasiiana.
Hebu tafakari kwa muda. Mungu anataka mawasiliano nasi, lakini tuko busy na shughuli zetu za dunia hii.
Anatupa zawadi/ baraka kubwa na ndogo tunazichukua na kuzifurahia bila hata kujua zinatoka kwake, bila hata kushukuru. Na mara nyingi tukijisifu kuwa TUMEBAHATIKA.
Lakini pale tunapo rushiwa kajiwe kadogo, ambacho tunaita (MATATIZO), ndipo tunamkumbuka Mungu.
Hapo ndipo tunapoomba/sali na kuwasiliana na Mungu.
Mungu anatupatia vyote na kutusamehe dhambi, sisi tunapokea na kusahau, tubadilike, Mungu hafurahii.
Tusisubiri turushiwe mawe, wakati wote tumkumbuke na kumsifu Mungu.
Tufanye kumuomba,kumshukuru na kumsifu Mungu iwe sehemu ya maisha ya kila siku...ubarikiwe
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
LikedUmeongea point nimekuelewa ila team yangu na wewe si upo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika mkuu,naamini mpaka Numbisa amelalamika jua kuna tatizo.Mungu atusaidie turudi kwenye hali ya kawaida,namuomba dadaangu alichukulie kama limepita.Mimi nilijiondoa toka picha ya juzi,hali ya Ku quote niliiona jana na leo asubuhi,ikanibidi nirudi hivyo hivyo maana sina kwa kwenda.Mweee!! uzee nitaenda wapi mie[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Busara hizo shemeji. Well said ndugu. Tupendane, tuvumiliane lakini pia tuwe wasikivu. Mwenzako akisema kuwa jambo fulani linamkwaza, si vibaya ukimsikiliza badala ya kujifanya wewe ndiyo unajua kila kitu. Mikwaruzano ya hapa na pale itakuwepo lakini tukiwa wakweli na kukanyana kwa staha, uzi huu utaendelea kuwa stress free na utaendelea kuwa kimbilio la wengi. Na lengo kuu bado ni lile lile: TOA LIKES POKEA LIKES.
Liked[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maongezi yepi???
Anatafuta kiki jf huyoUtafiti;wana MMU na chitchat masikini
Mmh JF kuna mambo,huyu katangaza vita na wahenga kisha katoa utafiti wake aiseee
Kweli.Eeeh kweli..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Wewe tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi ulifikiria nini vileee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli.Eeeh kweli..
Through God of peaceI really love my peace!
Money never gives peace but confirms trouble and spiritual deathI really love my peace!
Hahahaha watu hawana huruma aiseeh
Kula chuma chako cha likeNipo pokea like kwanza
Sina mkono wa bikira pokea likePamoja mkuu,hata wewe unakubalika sana humu, we are all doing good,sijajuta kua kwenye huu uzi,keep it up guys