Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Change Begins With Choice!!

Any day we wish, we can discipline ourselves to make important changes in our lives. Any day, we can open the book that will open our mind to new knowledge. Any day we wish, we can start a new activity. Any day we wish, we can start the process of change..

We can do it today, or next week, or next month, or next year.

We can also do nothing!



Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
[emoji617]Hauwezi kupiga hatua bila kunyanyua mguu wako, hivi ndivyo ilivyo.Haimaanishi mtu kuwa na miguu unaweza kutembea na kwenda sehemu sahihi hata kama umekaa.Hapana haiwezi kutokea labda kwenye ndoto tuu. Itakuchukua juhudi zako na kufikiri kwako kunyanyua mguu wako na kukupeleka sehemu sahihi. Sawa na maisha yetu kuwa na kitu flani haimaanishi kwamba tayari umeshafanikiwa ila kukitumia kitu ulichokuwa nacho kwa kufikiri, kuwa na juhudi na Nidhamu ni siri moja wapo ya kuhakikisha unanufaika nacho.

[emoji617]Unavyojipa muda mwingi kufikiri kuhusu kitu flani ambacho ni kizuri au kibaya na bado hujakipata ndivyo unavyovuta mazingira yake kwa uharaka zaidi mfano katika mawazo yako 80% ya Muda wako mwingi unalalamika juu ya maisha kuwa magumu na kuamini wengine wanachosema na wala huchukui hatua yoyote kujenga maisha yako hivyohivyo ndivyo kila muda unavyojijenga kwa 20% ya maisha yako kuwa magumu hata kama bado haujaanza kuona hali yenyewe.



Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
prepearing ourself

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rutashubanyuma samahani sana ila naomba nikwambie kitu,simaanishi niko sahihi sana au wewe uko sahihi sana ila tabia yako ya ku quote na kuandika liked au muda uliotoa likes unanikwaza na si mimi peke yangu ni wengi humu..hili ni jukwaa na kila mtu anapost anachoona kinampendeza lakini hatuna malengo ya kukwaza ama kukwazwa...watu wamelalamika lakini unajifanya husikii wala huoni hii ni dharau jaribu kuwa mstaarabu watu wanakwazika wengine wanashindwa kusema...lengo la uzi ni kutoa likes na kupata likes na si ku quote,kama una mquote mtu usimkwaze wengi tuna quote watu humu kwa lengo la kupiga stori ila unachokifanya wewe ni kutukwaza...tafadhali naomba usi quote post zangu japo bundle ni lako na huchaguliwi cha kupost...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…