Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mzee wa busara kulikoni umechunwa pesa ya uzeeni hasira zote kwanguNi kichwa kichafu alikuwa anamuulizia ISIS kila mara lakini baada ya kumshitaki kwako kaacha.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
LikedZipi hizo mkuu
Kwanini lakini.
Hakika kiongoziUkiipenda kazi yako. Hata wasiokufahamu watakupenda
Hallelujah!Ni lazima tumkumbuke na kumtukuza kwa yote Mkuu.
Kichwa unachungulia naona,Njema mzee wa busara
Nini tena my princessJana nilimlalamikia mtu mmoja kuniquote na akaniita majina majina leo bado yupo na quote zile zile kwangu. Uzi huu sio wa kukwazana jaman. Leave me alone sio kila kitu cha kuquote
Nini tena my princessJana nilimlalamikia mtu mmoja kuniquote na akaniita majina majina leo bado yupo na quote zile zile kwangu. Uzi huu sio wa kukwazana jaman. Leave me alone sio kila kitu cha kuquote
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kibiti kabisaOsiris wa Ikwiriri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kilimo cha matikiti kibiti huku kimenikamata kweli kweliKichwa unachungulia naona,
Leo haujakuwepo mda mrefu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mbona kama udini hivi!!? hapa ni likes udini siyo hapaHii ndio orodha ya marais wa awamu zote kupishana kwa kidini tangu Tanganyika kupata uhuru.
1. Mwalimu nyerere - mkristo.
2. Hassan mwinyi - muislamu.
3. Ben mkapa - mkristo.
4. J. Kikwete - muislamu.
5. John magufuli - mkristo.
Well said my dearPositive attitude brings positive energy to all people around you
Babe s khatari sana yule,Mzee wa busara kulikoni umechunwa pesa ya uzeeni hasira zote kwangu
You are a true gentleman na unafahamika kwa matendo yako.Naomba msamaha kama nimemkwaza mtu
My princess nini jamani sikuelewiJana nilijaribu kujikaza kuogopa kuonekana mkorofi nikashindwa ikabidi tu niseme ukweli. Upo sahihi