Pole sana mkuuJana nilimlalamikia mtu mmoja kuniquote na akaniita majina majina leo bado yupo na quote zile zile kwangu. Uzi huu sio wa kukwazana jaman. Leave me alone sio kila kitu cha kuquote
Ninafarajika kukupa like kwa sababu hubagui mtu. Ubarikiwe sana ndani ya Kristu Yesu Mungu pekee aliyehaijakitoo mbona naon likes tu hebu post tugonge LIKES
Anastahili like msiniulize kwa niniHamna mkuu ila mi mstaarabu tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
More likes17:50
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Umeongea point nimekuelewa ila team yangu na wewe si upo[emoji23][emoji23][emoji23]
Upendo kuushinda uovu siku zote
Ohoooooooo
Nikivuna matikiti nitakaribia sheikh huko ikwiriri.Mkuu huku bwanaaa miee naendeleaaaa ....na biashara yangu ya kuuzaaa kahawa kwenye bilika,
Ina faida nzuri endapo unakuwa na maneno mengi, unazungumza vitu vingi,
Uwe unajua vitu hata ambavyo huvijui!
Mbona biashara utafanya sana.
Karibu Ikwiriri sheikh.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
More likes betterlikes
Acha achape kazi