Ahsante mama,mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.Hawa wababa warubunifu wakomeshe,tena uwaombee washindwe kwa jina la...eee lile lile viungo vyao vitengukeee...eeeeNilikuwa nae siku zote
Ana movie moja nzuri sana Air force one
Ohooooo .... Wasije wakasema wewe ni mkorofi!!Hahaha lazima niyajali na watuhumiwa wote lazima wawajibike.
Yes BAKLiiiiiiii Naaaaaaaa Moooooooo
Kweli?Samaki ikilia machozi yake yapelekwa kwa maji.
I love that movieAna movie moja nzuri sana Air force one
Kweli na furaha haina hodi hutupata soteShida haina hodi [hakuna isiyemkumba].
Kichwa naomba usilisogelee zizi langu,tusiharibiane siku. Kuna ugumu gani kuomba msamaha?Unataka nimsalimie salamu fupi umekuwa mkia wa mbuzi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaaaaaa,una maanisha bwana yule?Mkodi bishop tu kazi imeisha
Shida na raha ni kinyume lakini ni mshahara wetu soteShida hapana zisiyemkumba.
Taratibu tu zinasonga kakaShughuli zinakwenda?
Like hii inakuhusuNdio mkuu wangu