Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Like yangu ni kipofu hata wasionipa like huwapa tu. Upendo hunoga unapowasambazia wabinafsi au wasio na uwezo wa kuurudisha ili thawabu yako uikute mbinguni ambako si mwizi, si mdudu au kutu atathubutu kukupora
c0726c3618dcc9b895db85b2fc2ddcaf.jpg
 
Back
Top Bottom