Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Likes ni mchango piaMkuu hawa watu ni watofauti humu nahisi wamependa tu hawapendi kupost sana
Love is in the air
Mbavu sina!Imenifurahisha sana
Like yangu ni kipofu hata wasionipa like huwapa tu. Upendo hunoga unapowasambazia wabinafsi au wasio na uwezo wa kuurudisha ili thawabu yako uikute mbinguni ambako si mwizi, si mdudu au kutu atathubutu kukupora
Cole Williams top the listNSAMAKA
BABE S
WENGINE MTAWAONGEZA
SPREAD LOVE
LIVE LIFE LIKE IT
BE HAPPY
DO GOOD
BE GOOD
COLE WILLIAMS
Atajamba hata ukiwa karibu kweli,?Ukiona dem anakutazama sanaaa.. Ujue kuna mambo mawili, Either amekupenda au anajamba polepole..
Mradi uvumilivuKabisa
Kwema sanaHahahaa ndugu yangu kwema