Nakubaliana nanyiBusara hizo shemeji. Well said ndugu. Tupendane, tuvumiliane lakini pia tuwe wasikivu. Mwenzako akisema kuwa jambo fulani linamkwaza, si vibaya ukimsikiliza badala ya kujifanya wewe ndiyo unajua kila kitu. Mikwaruzano ya hapa na pale itakuwepo lakini tukiwa wakweli na kukanyana kwa staha, uzi huu utaendelea kuwa stress free na utaendelea kuwa kimbilio la wengi. Na lengo kuu bado ni lile lile: TOA LIKES POKEA LIKES.
Ubahili ni laanabahili ana shida
You too ColeNashukuru kama zipo
Stay blessed
LINAMO
Nice movie8Miles
Hii mpya sijuiMtinda nywele kichwani.
Brazilian danceSAMBA
Well saidBusara hizo shemeji. Well said ndugu. Tupendane, tuvumiliane lakini pia tuwe wasikivu. Mwenzako akisema kuwa jambo fulani linamkwaza, si vibaya ukimsikiliza badala ya kujifanya wewe ndiyo unajua kila kitu. Mikwaruzano ya hapa na pale itakuwepo lakini tukiwa wakweli na kukanyana kwa staha, uzi huu utaendelea kuwa stress free na utaendelea kuwa kimbilio la wengi. Na lengo kuu bado ni lile lile: TOA LIKES POKEA LIKES.
Gr8 kwa kweli
Unaye mshenga au unapasua mwenyewekwa ukarimu bibi eee kwa kweli sitokuacha,
hata kama watasema sana sitowajari hao,
kwa kuwa najua uzuri si shani bora tabia. Duh umenikumbusha kitambo sana mkuu
Yupinampenda shetan
Labda ulale au chuchumaaMti wa kimo chako hauwezi kukupa kivuli.
AmenThe good shall prevail but evilness will perish forever
Kuna haja ya kila mwanandoa kumiliki bastola