The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Iran is strong and always will be.Trump kawashindilia msumari wa moto Iran ni vikwazo vya uchumi kwa kuchochea machafuko middleast
U.S. slaps more economic sanctions against Iran blaming it for destabilizing actions in the region
View attachment 545602
Hii ni scientific research au ni msemo tu wa kwenye vijiwe vya kahawa?Ngombe hazeeki maini
CoolNitakachofanya huku nilipo nyote mtakipenda, nitawapakaza like za kishindo.
Sent using Jamii Forums mobile app
CoolNitakachofanya huku nilipo nyote mtakipenda, nitawapakaza like za kishindo.
Sent using Jamii Forums mobile app
The secret of good life not rich one. Riches involve ripoffsSave more spend less
Nipo poa sana. Ila ubusy tu. Vipi huko hakuna anae sumbua mali zangu kwenye uzi
HahahahaNitahakikisha nyote mliopita huko nyuma mnaoga like za bleu . mpaka nikiwafikia mtakuwa mmepata kitu cha kujivunia hapa jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice shot
Shukrani kwa kusambaza upendoPata like kwanza maana toka muda nakuonaa unakomaa
HahahaHebu tulia kwanza,unahemkia wapi ??? Weka hizo (,) halafu urudi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yes he is.
Buguruni kwa bint madenge kuna mama mmoja ameanzisha kampuni ambayo inakodisha wanawake wa kusuta. kamuone huyo atakupa huduma hiyoNataka niunde kamati,nina mpango wa kukodi kundi la kukusuta[emoji23] [emoji23] [emoji23] nataka wakusuteeeee,yaani wakusuteeeee,usutwe saaanaaaa
Za asubuhi + mchana ni nzuri kabisaNdiyo nimeingia jamvini. Kwanza nitangulize shukrani za dhati kwa Muumba kwa karama zake kwetu pili za asubuhi
Well saidBusara hizo shemeji. Well said ndugu. Tupendane, tuvumiliane lakini pia tuwe wasikivu. Mwenzako akisema kuwa jambo fulani linamkwaza, si vibaya ukimsikiliza badala ya kujifanya wewe ndiyo unajua kila kitu. Mikwaruzano ya hapa na pale itakuwepo lakini tukiwa wakweli na kukanyana kwa staha, uzi huu utaendelea kuwa stress free na utaendelea kuwa kimbilio la wengi. Na lengo kuu bado ni lile lile: TOA LIKES POKEA LIKES.