The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
HahahahaBuguruni kwa bint madenge kuna mama mmoja ameanzisha kampuni ambayo inakodisha wanawake wa kusuta. kamuone huyo atakupa huduma hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kusifia Mali zangu.babe S, upo mtoto toka kanda ziwa, msukuma chapa ya pamba. Upo mrembo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako wengi zaidi ya Lucifer or Satan or the fallen star?Yupi
Waje tu, ujio wao unatusaidia kutangaza vivutio vyetuHuwa wanakuja kisiri siri sana. Nadhan itakua imeshahamia tayari
Mzima kabisa. Now am fine kabisa. Za mchana huu?Numbisa mambo, mzima. niaje, najua ulikwazika lakini uwe na subira ili uzi wetu usonge mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Like fish in the pool.Cool
Hata Nazi haishindi jiwe.Kuku hashindani na kisu.
Kweli na kutupa pesa za kigeni
TrueKuagiza ni kuweza?