Hahahaha jamani
Mbona sijaona like yako?Nshatoa za kutosha leo, aya na mimi ngoja nikae kitako nisubirie kama nasubiria noah ya makinikia
[emoji23] [emoji23]
Yop yop yopNaona ngoma hii bdo inatrend
Kazi kweli kweli mpe malikeSmile lako nimelipenda
Utamu[emoji7]Usiposoma kuna utamu unapungua
Hahaha.hahahahahahahaa umepita kuongeza like mkuu
Chukua like acha manenoHahaha.
Mimi si like like. Ninge like like ningekuwa na like mara 20 ya za sasa.
Zikizidi sana huwa nazifuta nianze upya.
Nimecheka sana tu nikaona si uungwana kutoshukuru.
Tafadhali sana.. Sio jinsi yanguNdipo kule uliposema umeolewa?
Pole sanadaaqh nipo msibani boss