Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2350.JPG
Mawimbi ka mazimwi!
 
Afrika kusini nasikia wameanza kutoa B.A in African witchcraft. Kama wanafundisha na huu ujanja wa kuruka kwenye ungo aisee I am applying [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wazungu pia wana mauza uza yao lakini sisi duh!
Hao ndiyo usiseme
Angalia YouTube
The Opening of Tunnel
In Geneva
Switzerland
Uone kazi haswa
 
Back
Top Bottom