Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
WaaoowYule niliyeapa kifo kitatutenganisha
WaaoowYule niliyeapa kifo kitatutenganisha
Na baraka zake zoteNa makucha yake!
MorningMorning Numbisa
PoaWadau nina deni lenu, mnanidai..nitawalipa..NIWATAKIENI USIKU MWEMA
Afrika kusini nasikia wameanza kutoa B.A in African witchcraft. Kama wanafundisha na huu ujanja wa kuruka kwenye ungo aisee I am applying [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazungu kaa nao kwa hekima
Jana sikuiona nilidhan hawataonyeshaNumbisa naona ITV wamerudi tena katika ubora wao.
HahahahaHawa jamaa hawaogopi kitu. Na wengine matineja tu. Wanataka kwenda Mars wakatest zali!
The real voice
Imagine mtu una-zoom tu kutoka Dar mpaka Uchagani bila shida.Ndiyo maana wakajiita glorified! Ma ninkampoop