Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
Habari ya j2 pachaHata mimi pia. Kwema huko
thanx a lot madam isis..Love u 2
Hakujawahi kuwa na zoez zuri la JF kama hili.Usipite bila kutoa likes zoezi liwe lenye mafanikio makubwaaa
Tunakupenda pia.Nawapenda.
Hujateuliwa?Wateule nimerud tena
Watu wameamua kuamaka, kushinda na kulala kwenye huu uzijamaani sasa threads zingine zimesusiwa jamani
AminaNa tuendelee kumshukuru na kumuabudu
Huu mwaka wetu mkuu hapo bado zoezi la kugawiwa noah kila mmoja aiseeeHakujawahi kuwa na zoez zuri la JF kama hili.